Kujenga nyuma ya kupanga vyumba sita vya ghorofa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ninawaza jinsi nitakavyopanua ka pensheni kangu wakati sina nguvucya kufanya kazi lakini ninahitaji kula na kutubiwa. Kama mjuavyo social security yetu bado changa kuhudumia wahenga.

Hiki kijumba changu huku kwetu Kwamtogole nikipandishe ili iwe na vyumba 12 vya kupanga. Sasa tatizo choo cha hawa wa juu nitakiweka wapi?
Huku chini nina vyumba sita ndani na vinne uani pamoja na choo bafu na jiko. Choo cha juu ni lazima kiwe cha kuflash.
 
Nitaomba niwe jirani yako ukiwa unalipwa pensheni yako ya kupanua na Mimi nishuhudie!!!
 
Mkuu tatizo ni plan ya choo, itabidi niweke vya kuflash juu na chini

Choo kwanini kinakuwa ni tatizo? Hile eneo halina maji kwamba wale wa chini wanatumia choo cha shimo? Maana kama septic tanks tayaro zipo; wa juu si mfumo unapelekwa chini kwa mabomba.

Juu ni lazima flash huwezi weka choo cha shimo ghorofani
 
Sasa dada yangu si utafute wataalam wa michoro ya majengo wakufanyie usanifu
 
Kwani Structural design wa Jengo lako ni unproffesional au? Au undesign mwenyewe au? Mbona siyo kitu cha kusumbua kichwa au labda mada haijajulikana unamaanisha nini?
 
Huyu nadhani kalenga kutuambia anataka kujenga ghorofa..

Maana sio swala la kuumiza kichwa professional tupo
 
Choo kwanini kinakuwa ni tatizo? Hile eneo halina maji kwamba wale wa chini wanatumia choo cha shimo? Maana kama septic tanks tayaro zipo; wa juu si mfumo unapelekwa chini kwa mabomba.

Juu ni lazima flash huwezi weka choo cha shimo ghorofani
[emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…