Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ninawaza jinsi nitakavyopanua ka pensheni kangu wakati sina nguvucya kufanya kazi lakini ninahitaji kula na kutubiwa. Kama mjuavyo social security yetu bado changa kuhudumia wahenga.
Hiki kijumba changu huku kwetu Kwamtogole nikipandishe ili iwe na vyumba 12 vya kupanga. Sasa tatizo choo cha hawa wa juu nitakiweka wapi?
Huku chini nina vyumba sita ndani na vinne uani pamoja na choo bafu na jiko. Choo cha juu ni lazima kiwe cha kuflash.