Kujenga nyumba - Gharama za engineer na mafundi wake


Mkuu Bei zako utafikiri tenda ya Halmashauri!
Hizi bei ni kubwa mno. Au umeipa tenda kampuni ya mhindi ikujengee?
 
Ninakushauri fuata taratibu na kanuni zote za ujenzi,

Bodi ya ukandarasi ipo makini sana kwa wale waendao kinyume!

Tumia kampuni ya ukandarasi iliyosajiliwa kihalali na bodi ya ukandarasi nchini,

Gharama za mkandarasi zisikufanye ukavunja sheria za ujenzi kwa hasara utakayopata nikubwa zaidi ikiwa utabainika kuvunja sheria husika!

Maeneo uliyoyataja Kigamboni nk ni sehemu inayomulikwa kwa ukaribu zaidi na CRB,

Usiogope gharama mkuu, ninakushauri kwa uzoefu wangu kama mkandarasi hapa nchini!

Wasiliana nami mkuu ikiwa utapendezwa kujenga kwakuzingatia sheria tajwa!
 
If u wish 2wasiliane everything ntakusimamia plus mafundi wazoefu na wenye experience.kama ramani huna naweza kukudesgnia kulingana na mahitaji yako.email david08606@Gmail.com no 0659497070
 
Ushauri tuu kumbuka muoshwa huoshwa. Usijenge gorofa kama huna pesa ambayo ni determine utaacha gofu mjini hapo

cjengi kwa kutegemea hayo nimeeleza tu wapi pa kupata urahis wa vifaa vya ujenzi kwa wasio na uwezo na sio lazma ghorofa hata za kawaida.na usishangae watu wanajenga sana kwa bei nafuu na mie ninayeongea najua nn namaanisha.
 
Thx JF,
nimefumbuka macho!
i thought this site was all about ccm and Chadema, and @Lara-i-dont-know-how-much only!
 
cjengi kwa kutegemea hayo nimeeleza tu wapi pa kupata urahis wa vifaa vya ujenzi kwa wasio na uwezo na sio lazma ghorofa hata za kawaida.na usishangae watu wanajenga sana kwa bei nafuu na mie ninayeongea najua nn namaanisha.

Nimekuandikia pm, umeiona?
 

Yericko, acha porojo.

Mdau anauliza makadirio ya gharama. Wewe umejitambulisha kuwa ni mkandarasi, je kwanini usitoe angalau makadiro ya gharama kama mdau alivyouliza?

Hayo mambo ya kupelekana chamber yanaondoa mantiki ya hili jukwaa.
 
Mkuu Bei zako utafikiri tenda ya Halmashauri!
Hizi bei ni kubwa mno. Au umeipa tenda kampuni ya mhindi ikujengee?

Gorofa sio lele mama, ukiona mtu kalijenga basi lione hivyo hivyo. Ufundi msingi wa gorofa sio chini ya Million 5 muulize aliyeujenga.
 
Gorofa sio lele mama, ukiona mtu kalijenga basi lione hivyo hivyo. Ufundi msingi wa gorofa sio chini ya Million 5 muulize aliyeujenga.

Kuna siri ya kupunguza gharama za ujenzi. Usiweke emotions kwenye maamuzi halafu whenever possible take your time to search enough information before taking any action.
 

Kwenda bodi ya Wakandarasi wataenda wahindi wa KKoo, requirement zao ni wazimu mtupu. Fundi mchundo hana Bango wao wanataka sijui Bango, sijui Insurance, sijui awe amesajiliwa, sijiu nini.

Hii ndio way forward wewe jenga wakija wale watoto wao (maana wengi ni watoto walio maliza shule mwaka jana) wana njaa, mpe kama kilo basi. Maliza funga ukuta weka alama MBWA MKALI. Mimi nimejenga na nakalibia kumaliza. Hawana kazi wajinga wale.

Hawa watoto walisoma UDSM civil ambao wanajiita wakandarasi ndio majanga matupu, watakupa bei zao za wizi na kisha ujenzi wao umebase kwenye metrics ambazo ni unrealistic. Chukua mchundo mwenye experience kama unajenga one floor. Achana na watoto wa chuo.
 

Mkuu nakushukuru sana wewe na wanaJF wengine waliotoa mchango wao katika ombi langu. Nafikiri kwa mawazo haya bila shaka mwongozo fulani umepatikana ambao utasaidia katika mchakato wa kazi yenyewe. Nawashakuru sana na nimekubali kwamba hapa JF hakuna linaloshindikana. Mbarikiwe sana. Nitarudi tena kuangalia kama kuna mawazo mapya yamejitokeza.
 
Wabongo kweli ni noma, mtu ana justify wizi wake kwa kigezo cha umaskini! Ninyi ndo mnasababisha maghorofa yanaanguka na kuua watu kutokana na wizi mnaoufanya, sababu sehemu iliyopangwa ijengwe kwa mifuko mitano ya cement mnaiba hapo mitatu na hivyo inajengwa kwa mifuko miwili tu.
 


  1. labour cost =30% of material cost
  2. profit and overhad =15-20% of material cost
  3. contigency=5% of material cost

unacho kibali cha ujenzi??, na je unao wataalamu wasimamizi wa ujenzi yaani QS,Architect,na Engineer??
kama hauna tuwasiliane kwa mliberalimtanganyika@yahoo.com

 
tafuta QS atakusaidia hao mafundi wa mtaani watakupa hasara na kazi itakua mbovu mwisho wa siku mtengo uanguke. kizuri gharama
 
Yaani usijaribu njia za panya mkuu,,,
kikubwa jipange tafuta registered engineer or company na utamlipa 15-18 percent ya cost ya materials na yeye atakuchaji 27 percent ya materials for labour,najua archtect unae kwani michoro lazima ipitishwe jiji,,baada ya hapo nenda CRB wakusajilie mradi sio pesa nyingi ila wakikumata hujasajili utaona cha moto,,,
yote haya nakwambia kwa sababu mimi najenga huku mwanza,na karibu kila wiki wanakuja wakaguzi wa jiji kuhakikisha vyote hivi nimevifuata,CRB nao hupita,,,,
 

Acha upuuzi ww,unadhan makampun yapo choka mbaya ka wewe.nyumba zinasimamiwa kuliko unavyodhan ila kuna ofa za mafundi baadhi ya makampun wanawapa mafundi kila cku.na usifikir fundi anapewa tu cement za kazi zote zinapasuliwa na engineer na kuhakikisha zimefanya kazi.nani anakuambia maskin ndo wananunua vitu huko?migorofa iliyoporomoshwa maeneo ya karibu kwa kununua hizo zaga ni maskin wale?nani anakuambia kwenye miradi hiyo kama cement zitatumika 20 kwa nyumba basi zinakuja 20? umezoea kuiba basi kila kitu unadhan wizi.nimekupa ujumbe ukipenda beba usipopenda potezea hainizuii kwa mi binafsi kufanya mambo yangu.
 
Pole yako, unaingizwa mtegoni na huyu mzee wa system nawe unaingia kichwakichwa kufunguka jinsi mnavyoiba kupitia makampuni ya ujenzi. Kama huwajui wazee wa sekta nyeti wamejazana humu we subiri muziki wake.

huu c wizi rafiki yangu zaga hata mtaani zipo na kama mzee wa sector anajua mpangilio wa material ulivyo.cjaanza kazi hii leo wala jana najua niongeacho na cna hofu kuwapa watu info ila tu sipend wajue mzee wa kazi nawapa info hali wanataka kula wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…