Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Unapopata fundi wa level hizo, Basi jua na wewe wa level hizo. Hata jengo lako litakuwa la level hizoKwanini fundi asi shauri zinazofaa na kusema sababu?
Wezi wezi tu, fundi anaye jithamini hawezi kufanya kazi mbovu
Mwizi mwizi tu.. na kutokutumia akili za kujiwekea level ya juu kikazi
Kataeni kazi kwani lazima?