Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Wewe linganisha tu nchi za watu waaminifu KWa asilimia kubwa... Ni nchi tajiri.. na watu wake wanamaisha bora... Kuna jamaa flani alikuwa japani anafundisha shule hizi za chekea na primary.. anasema mara kibao sana watoto wanasahau vitu madarasani nje.. sehemu za kucheza lakini unaweza kuta vitu vipo pale pale hakuna mtoto wala mtu mzima anaye gusa hadi walio poteza wanavikuta pale... Maana wanajua sio vyao.. na haijalishi vikae mwezi, wiki au mwaka...Yes......pamoja na wizi wanaofanya ,wengi wao hakuna cha maana walichonacho.
Mimi nakumbuka nishawahi ibiwa yeboyebo zangu mpirani kipindi nipo primary, yeboyebo ndo zinaingia kipindi hiko bongo, namaliza mechi (cha ndimu) kutafuta yebo sizioni... Wiki inakata nakaona kajamaa kamevaa.. nakauliza yebo umetoa wapi hizo.. kana babaika.. nikakavua... SAsa Hapo fikiria mtoto mdogo yupo primary anafanya hivyo... Na mzazi anamwona mwanae anavaa viatu ambavyo hajamnunulia hamuulizi tena anamsifia mjanja.....
Tanzania,, mapinduzi ya malezi muhimu kufanyika