Kujenga nyumba ya biashara mkoa ni upotevu wa pesa

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Ukiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.

Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!

Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
 
Mkuu nyumba ya biashara inalipa sana hasa guest houses na fremu za biashara na nyumba za kuishi ili mradi ziwe katika ubora na viwango vya kisasa
 
Ukiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.

Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!

Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
Niliwahi kulala Lodge kali pale Mbinga nikalipa 10k ambapo kwa Dar au arusha ningelipa 30k
 
Mwaka huu january nimewahi kulala lodge kali ya ghorofa kwa elfu 25 ,jina silikumbuki pale Mbeya mjini nyuma ya hospital ya meta. Niliyeenda nae pale alijua nimelipa 70k+ mchana tunapata lunch namuambia nimelipa 25k hakuamini ilibidi jioni tuondoke lakini akasema tulale tena[emoji16] tukakaa siku 3.
 
Ukiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.

Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!

Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
Huna pesa zozote za kujengea wewe looser.

Hoja Yako inge make sense kama huko Mkoani ungekuta hizo nyumba hazipo au hazijengwi.
 
Ukiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.

Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!

Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
Kuna matajiri wapo mawilayani wanapesa nyingi kuwazidi watu wengi waishio kwenye majiji. Kuwekeza na kujenga bado ni asset kubwa Sana . Population inaongezeka
 
Mwaka huu january nimewahi kulala lodge kali ya ghorofa kwa elfu 25 ,jina silikumbuki pale Mbeya mjini nyuma ya hospital ya meta. Niliyeenda nae pale alijua nimelipa 70k+ mchana tunapata lunch namuambia nimelipa 25k hakuamini ilibidi jioni tuondoke lakini akasema tulale tena[emoji16] tukakaa siku 3.
Akasema " tulale tena"😅😅😅
 
Acha jifariji mtoa mada jenga hizo story wanapiga watu wasio na pesa na malengo na kautoto kwa mbali......
 
Kuna Siri IPO Mkoani usiyoijua.Gharama za Ujenzi Mkoani zipo Chini.Mfano Mikoa mingi Wanajenga Tofali choma,Msingi wanatumia Mawe.Binafsi nilisahau Sana:Wakati 10m Kwa Dar iliishia kwene Msingi,Kwa Mkoani Tabora Milioni 10 Boma lilikamilika.Aidha angalia gharama za Kokoto,zile nyeusi Mkoani unapata Kwa 180K Kwa trip ya 3.5T wakati Kwa Dar zikitoka Chalinze huzigusi Kwa bei.
Hiyo ni sehemu ya Siri.Nimejenga Frame za biashara Mkoani Kwa 25m wakati jengo hili Kwa Dar ingegharimu around 40m ukijumulisha na Ardhi.
 
Sio kweli kuna vijiji vina mizunguko mikubwa ya pesa kuzidi mitaa mingi ya pesa kama unabisha njoo babati nikutembeze vijijini uone
 
Back
Top Bottom