Kuna Siri IPO Mkoani usiyoijua.Gharama za Ujenzi Mkoani zipo Chini.Mfano Mikoa mingi Wanajenga Tofali choma,Msingi wanatumia Mawe.Binafsi nilisahau Sana:Wakati 10m Kwa Dar iliishia kwene Msingi,Kwa Mkoani Tabora Milioni 10 Boma lilikamilika.Aidha angalia gharama za Kokoto,zile nyeusi Mkoani unapata Kwa 180K Kwa trip ya 3.5T wakati Kwa Dar zikitoka Chalinze huzigusi Kwa bei.
Hiyo ni sehemu ya Siri.Nimejenga Frame za biashara Mkoani Kwa 25m wakati jengo hili Kwa Dar ingegharimu around 40m ukijumulisha na Ardhi.