Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Umejenga wapi nyumba nzima ya self ukalipwa hivyo?Ukiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.
Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!
Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
Nami nilitaka niulize mkuuUmejenga wapi nyumba nzima ya self ukalipwa hivyo?
Niliwahi kulala Lodge kali pale Mbinga nikalipa 10k ambapo kwa Dar au arusha ningelipa 30kUkiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.
Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!
Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
Maza ana nyumba songea,mtaa wa Msamala..hyo nyumba ina nyumba vinne,kimoja ni master. Tiles kote, gypsum pamoja na madirisha ya aluminium..Nami nilitaka niulize mkuu
Inategemea na eneo mzee,nenda songea ukajionee nyumba nzuri lakini kodi yake kwa mwezi ni majangaMkuu nyumba ya biashara inalipa sana hasa guest houses na fremu za biashara na nyumba za kuishi ili mradi ziwe katika ubora na viwango vya kisasa
Hata bukoba ni hivyo hivyo tuInategemea na eneo mzee,nenda songea ukajionee nyumba nzuri lakini kodi yake kwa mwezi ni majanga
Mwaka huu january nimewahi kulala lodge kali ya ghorofa kwa elfu 25 ,jina silikumbuki pale Mbeya mjini nyuma ya hospital ya meta. Niliyeenda nae pale alijua nimelipa 70k+ mchana tunapata lunch namuambia nimelipa 25k hakuamini ilibidi jioni tuondoke lakini akasema tulale tena[emoji16] tukakaa siku 3.Niliwahi kulala Lodge kali pale Mbinga nikalipa 10k ambapo kwa Dar au arusha ningelipa 30k
Huna pesa zozote za kujengea wewe looser.Ukiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.
Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!
Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
Kuna matajiri wapo mawilayani wanapesa nyingi kuwazidi watu wengi waishio kwenye majiji. Kuwekeza na kujenga bado ni asset kubwa Sana . Population inaongezekaUkiondoa baadhi ya haya majiji makubwa huko kwingineko ni hasara tupu na maumivu.
Huko si ajabu kukuta mtu kapanga nyumba nzima full contained akulipa elfu 50!
Huu si ufala
Kwann ujitoe kafara
Halafu kasahau kushauri tufanyaje?Nami nilitaka niulize mkuu
Umezingua😒Halafu kasahau kushauri tufanyaje?
No sijazingua, nakuomba chembaUmezingua😒
Akasema " tulale tena"😅😅😅Mwaka huu january nimewahi kulala lodge kali ya ghorofa kwa elfu 25 ,jina silikumbuki pale Mbeya mjini nyuma ya hospital ya meta. Niliyeenda nae pale alijua nimelipa 70k+ mchana tunapata lunch namuambia nimelipa 25k hakuamini ilibidi jioni tuondoke lakini akasema tulale tena[emoji16] tukakaa siku 3.
Acha kujifungia mtaani kwako tu. tembea uoneUmejenga wapi nyumba nzima ya self ukalipwa hivyo?