Kujenga nyumba ya biashara mkoa ni upotevu wa pesa

Umejenga Tabora sehemu gani???
 
Maza ana nyumba songea,mtaa wa Msamala..hyo nyumba ina nyumba vinne,kimoja ni master. Tiles kote, gypsum pamoja na madirisha ya aluminium..

Kodi ni 80k kwa mwezi. Wateja hakuna kabisa
Jamaa yangu ana nyumba za kupanga (apartments) na fremu za biashara Makete (vijijini sio makao makuu ya Wilaya). Nyumba (chumba kimoja self, sebule na jiko) amepangisha kwa sh. 80,000 kwa mwezi. Fremu za biashara kapangisha kwa sh. 50,000 kwa fremu moja.
 
Mimi nataka nijenge ghorofa mkoani. Zinalipa sana aisee! Wafanyabiashara wa kijijini wanapenda biashara zao ziwe ghorofani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…