Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kwa bahati mbaya sana kama nchi hiyo siyo priority (kipaumbele)Swala la kuwa na Viwanda vya magari kwa apa Tanzania ni just priority tu...Kila kitu kinawezekana.
Mchina anapenda shortcut ndo maana semiconductor zimemshinda japokuwa anapambana sana kuzi-master sio tu hizo hata combustion engine China zilimpa changamoto sana ndo maana kawekeza nguvu kubwa sana kwenye magari ya umemeMkuu umeongea juu juu sana
Huyo mchina na ujanja wake wote mpaka leo semiconductor zimemtokea puani na anaagiza marekani..
Hii nchi yetu ilivyokuwa hivi usishangae hilo gari likawekewa tozo mpaka kufikia gari moja kuuzwa bilion moja
Majuzi tu hapo bajaji ilikua inauza m4 lakin saiv inagonga mpka 12m
Hiz pkpk za boxer hazizidi m1 ila tukisema tutengeneze sisi utashuhudia zikiuzwa had m10
Reference nenda sido kaulizie kiatu cha ngozi kinauzwa bei gani halafu uje hapa jukwaani tusikitike kwa pamoja
Africa kwa ujumla tu hatupo serious sisi tuletewe tule tukalale.
Tuna taasisi zinazodili na mambo ya tecknolojia ila jiulize mpaka saiv ni bidhaa gani ambayo imetoka mikononi mwao na kumfikia mwananchi?
Wacha tuendelee kupiga chini window 7 na kupandisha 11
Kwaiyo semiconductor iliyomshinda mchina wewe utakuja kuitatua?Mchina anapenda shortcut ndo maana semiconductor zimemshinda japokuwa anapambana sana kuzi-master sio tu hizo hata combustion engine China zilimpa changamoto sana ndo maana kawekeza nguvu kubwa sana kwenye magari ya umeme
Hata kwenye pharmaceutical mchina bado ana-struggle sana sababu pharmaceutical kama ilivyo semiconductor haitaji ujaujanja bali ufahamu wa hali juu ili mtu aweze kuzi-master
Tanzania bidhaa nyingi zinazozalishwa Tanzania ni bei ghali kwa sababu ya uwepo wa kodi na tozo nyingi na serikali kutokutoa subsidy
Kwa hizo changamoto ndo maana mimi nataka kuwa Rais ili kuweza kuziondoa sababu ni kikwazo kikubwa sana kwa maendeleo ya viwanda Tanzania
Tatizo unaamini mwafrika hawezi kitu ndo fikra kama zako viongozi wengi wanazoKwaiyo semiconductor iliyomshinda mchina wewe utakuja kuitatua?
Teknolojia sio jambo jepesi kama unavyofikiria nenda kawaulize wenzio waliojaribu magari ya nyumbu.
China hajashindwa kwenye engine bali yeye analazimisha kupunguza gharama za uzalishaji na hapo ndipo anapotengeneza vitu vyenye ubora wa muda mfupi. Kuzidisha alminium kwenye block kunapunguza uimara wa engine
Tatizo lako dogo ukishashiba kande na kuvimbiwa hapo Kwa shemeji yako mume wa dada yako chochote kinakujia akilini unakuja kushare na Sisi.Tatizo unaamini mwafrika hawezi kitu ndo fikra kama zako viongozi wengi wanazo
Yes tunaweza ku-master semiconductor na kama nchi tutatengeneza high purity silicon wafer
China hajaweza kuimaster combustion engine kama ilivyo kwa mjerumani au mmarekani huo ndo ukweli
Hakunaga tuzo ya kuongea pumbaTatizo lako dogo ukishashiba kande na kuvimbiwa hapo Kwa shemeji yako mume wa dada yako chochote kinakujia akilini unakuja kushare na Sisi.
Unaishi ulimwengu wa fantasy na illusion.
Unachukulia mambo kirahisirahisi tu kamakunya.
Eti Dennis tafiti zisizo rasmi bali ni za ukweli na uhakika eti wewe ndiye mwanamme mwenye mvuto kwa wanawake na IQ kubwa kuliko wanaume wote JF.Hakunaga tuzo ya kuongea pumba
Endelea kuongea pumba sababu unachangamsha uzi
Inasikitisha sana kakaMkuu umeongea juu juu sana
Huyo mchina na ujanja wake wote mpaka leo semiconductor zimemtokea puani na anaagiza marekani..
Hii nchi yetu ilivyokuwa hivi usishangae hilo gari likawekewa tozo mpaka kufikia gari moja kuuzwa bilion moja
Majuzi tu hapo bajaji ilikua inauza m4 lakin saiv inagonga mpka 12m
Hiz pkpk za boxer hazizidi m1 ila tukisema tutengeneze sisi utashuhudia zikiuzwa had m10
Reference nenda sido kaulizie kiatu cha ngozi kinauzwa bei gani halafu uje hapa jukwaani tusikitike kwa pamoja
Africa kwa ujumla tu hatupo serious sisi tuletewe tule tukalale.
Tuna taasisi zinazodili na mambo ya tecknolojia ila jiulize mpaka saiv ni bidhaa gani ambayo imetoka mikononi mwao na kumfikia mwananchi?
Wacha tuendelee kupiga chini window 7 na kupandisha 11
Endelea kutumia haki yako ya kutoa maoniEti Dennis tafiti zisizo rasmi bali ni za ukweli na uhakika eti wewe ndiye mwanamme mwenye mvuto kwa wanawake na IQ kubwa kuliko wanaume wote JF.