Kujenga viwanda vya magari sio suala gumu, bali ugumu upo kwenye mambo yafuatayo

Serikali yangu itawekeza sana kwenye
  • Training
  • Buying machine
  • Innovation
Mkuu,Hayo maneno Training,Innovation usiyatumie Vibaya.Kwanza ili mtu awe trained lazima kuwa na Trainer.Ili Trainer awere trainer lazima awe trained.So hizo machine utanunua na nini?
 
Kwani hao walikuwa na hizo machine wananunua na nini nilishaongelea kwenye huu uzi swala la mashine

Serious ile masoud unaweza ita kiwanda cha magari simlaumu masoud bali mifumo ime-mlet down ili niweze kuwasaidia kirahisi watu kama kipanya ni vizuri nikawa Rais
Mkuu ina maana wewe unataka uwe Raisi kwa kipindi cha miaka mingapi?Maana haya maono yako hata ukipewa miaka mingi kama yule Rais wa UGANDA au yule wa Kule Cameroon hutaweza kuyakamilisha yote.

Nimekuengage hapa kwenye discussion ili tu nikupe USHAURI.

Ili kujenga TIAFA imara hatuhitaji RAIS bora.Tunahitaji RAIA bora.

Tunahitaji RAIA wenye Nidhamu ya kazi,Bidii ya kazi.Raia ambao badala ya kukaa JF ni kujilisha UPEPO wanaenda Shamba kulima na wakati wa mavuno wanakuja JF kushare kanuni bora za KILIMO.

Tunata RAIA ambay anakuja JF anaweka maarifa na nyuzi konki ambazo mtu akizisoma anapata UJUMBE anaoweza kuufanyia KAZI na akabadili maisha yake mfano Nyuzi za mbinu za kilimo,Mbinu zi biashara,mbinu za uwekezaji na Fursa mbalimbali.

Tunahitaji RAIA ambao wanazunguka kwenye Mabenki na Taasisi za Fedha kutafuta Financiers wa Projects Mbalimbali za maendeleo ambazo zinatija.Raia ambao wanahangaika kuunda zana bora za kilimo,mifumo baora ya maosko na biashara.

Kama kweli unautamani URAIS basi anza kwa kuwa RAIA bora Chukua hatua hapo ulipo uanze na ulichonacho.Urais Utakuja TU maadamu unautamani.
 
Kwani hao walikuwa na hizo machine wananunua na nini nilishaongelea kwenye huu uzi swala la mashine

Mkuu Nafikiri inatosha Sasa.Uko kijiwe gani cha Kahawa nije?
 
Mkuu ina maana wewe unataka uwe Raisi kwa kipindi cha miaka mingapi?Maana haya maono yako hata ukipewa miaka mingi kama yule Rais wa UGANDA au yule wa Kule Cameroon hutaweza kuyakamilisha yote.

Nimekuengage hapa kwenye discussion ili tu nikupe USHAURI.

Ili kujenga TIAFA imara hatuhitaji RAIS bora.Tunahitaji RAIA bora.

Tunahitaji RAIA wenye Nidhamu ya kazi,Bidii ya kazi.Raia ambao badala ya kukaa JF ni kujilisha UPEPO wanaenda Shamba kulima na wakati wa mavuno wanakuja JF kushare kanuni bora za KILIMO.

Tunata RAIA ambay anakuja JF anaweka maarifa na nyuzi konki ambazo mtu akizisoma anapata UJUMBE anaoweza kuufanyia KAZI na akabadili maisha yake mfano Nyuzi za mbinu za kilimo,Mbinu zi biashara,mbinu za uwekezaji na Fursa mbalimbali.

Tunahitaji RAIA ambao wanazunguka kwenye Mabenki na Taasisi za Fedha kutafuta Financiers wa Projects Mbalimbali za maendeleo ambazo zinatija.Raia ambao wanahangaika kuunda zana bora za kilimo,mifumo baora ya maosko na biashara.

Kama kweli unautamani URAIS basi anza kwa kuwa RAIA bora Chukua hatua hapo ulipo uanze na ulichonacho.Urais Utakuja TU maadamu unautamani.
Ila waafrika changamoto ndo maana kila Rais akija anaanza na mambo yake sasa hiyo nchi itaendeleaje

Yaani kila mtu akiwa RAIS WA TANZANIA anaanza na mambo yake mapya ndo maana nchi ni maskini

Nchi inayojielewa ina succession plan unaanza mambo anayekufuata anayaendeleza na sio anaya-cancel anaanza upya naamini uili somo hulijui

MIMI SITAMANI URAIS BALI NATAKA KUWA RAIS WA TANZANIA NAAMINI NI MTU SAHII WA KUIONDOA NCHI KWENYE HUU UMASKINI ULIOTAMALAKI KILA KONA
 
Magari yana-ela sana na sio complex kama viwanda vya treni

Reli kama reli siinatengenezwa na steel
Gari ni complex sana ...yana electronics electric ...ukiweza kuunda gari full ujuwe unaweza kuunda asilimia 70 ya vitu vyote ...sikuizi magari yana camera yana tv yana computer yana sensa nk
 
Back
Top Bottom