Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Hayo uliyoyaongelea yanawahusu serikali iliyopo madarakaniViwanda vya magari havitajengwa Tanzania kwa sababu kodi ya magari chakavu inafika Tsh 150m kwa gari moja hapo wanaona kiwanda ni cha nini faida wanayopata inazidi hata waliotengeneza hilo gari..
Sawa MkuuHayo uliyoyaongelea yanawahusu serikali iliyopo madarakani
Mimi naongelea maoni yangu kama mtu mwenye nia ya kuwa Rais wa Tanzania
Sijajua kama bado kinazalisha ili tuweze kuwa dominant kwenye uzalishaji matairi ya gari ni vizuri tuka-anza na kilimo kikubwa cha rubber asilia kumbuka matairi yanatengenezwa na rubber asiliaKile kiwanda cha matairi bado kinazalisha?
Kwa ukanda wetu, kilimo cha mpira kinakubali?Sijajua kama bado kinazalisha ili tuweze kuwa dominant kwenye uzalishaji matairi ya gari ni vizuri tuka-anza na kilimo kikubwa cha rubber asilia kumbuka matairi yanatengenezwa na rubber asilia
KinakubaliKwa ukanda wetu, kilimo cha mpira kinakubali?
Kwa sasa hii, ni mikoa ipi inayolima?Kinakubali
Kwa sahivi hakuna ila miti ya natural rubber inakua vizuri tu TanzaniaKwa sasa hii, ni mikoa ipi inayolima?
Nimemuuliza chatGPT kwa niaba yako nafikiri anaweza kukusaidia na ukamfanya mshauri wako wa mipango yako yote ukiwa Raisi na anaweza kukufanyia deep research pia ,huhitaji timu ya maproffesor ……..Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining na sio na kitu kingine
Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza
- Steel kwa ajili ya bodi ya gari na parts za engine
- Aluminium kwa ajili ya kutengenezea parts za engine
- Copper kwa ajili ya kusuka mota kwenye swala la magari ya umeme
- PcB kwa ajili mfumo wa umeme wa gari
- Glass kwa ajili ya vioo
- Plastic
- Natural Rubber kwa ajili ya matairi
Ili utengeneze gari Tanzania inakubidi vitu nilivyovitaja hapoo juu uvi-import kwa maana hiyo hata ukisema unimport hivyo vitu basi gari utakalotengeneza hapa Tanzania litakuwa expensive na halitaweza kushindana kwenye soko la dunia
Ili tuweze kutengeneza magari hapa Tanzania inatakiwa tuwe na better ecosystem ya smelter kama ya steel, Aluminium, glass, petrochemical na pcb kama sehemu ya kuwa na better supply chain nzuri
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUA NA MPANGO WA KUZALISHA MAGARI UNIT MILLION 10 KWA MWAKA HII ITAKUWA NA FAIDA NYINGI SANA KWA NCHI
| Hatua | Maelezo |
| 1 | Sera rafiki kwa wawekezaji |
| 2 | Elimu ya ufundi na teknolojia |
| 3 | Ubia na kampuni kubwa |
| 4 | Kuanza na assembly plants |
| 5 | Kuimarisha miundombinu |
| 6 | Kuongeza soko kupitia EAC na SADC |
General tyre walitoa mitambo wakapeleka Nairobi na kukiita Yana hapo Njiro yamebaki majengo tu..Kile kiwanda cha matairi bado kinazalisha?
Kama hicho kimetushinda, cha magari tutaweza?General tyre walitoa mitambo wakapeleka Nairobi na kukiita Yana hapo Njiro yamebaki majengo tu..
Walioko madarakani ndo wameshindwa wengine ambao hatupo madarakani tunawezaKama hicho kimetushinda, cha magari tutaweza?
Kuna nyuzi tayari nimeshaelezea kuhusu kilimo cha umwagiliaji sema hujaziona ila zipo hukuHuko ni kuangaika tu, tupambane na vitu ambavyo haviathiriwi na kujua Kwa teknolojia. Unaweza kutengeneza simu Leo wenzako wako toleo la ishirini ukifika toleo la tatu washabuni simu nyingine. Unawaza gari Fulani wenzako washahama wanamagari ya kutumia umeme, solar nk
Lakini sijawahi sikia maharage, alizeti, ngano, mahindi, maziwa, nyama yanabadilika. Tukiweza kuilisha Africa mashariki kwanza ndio naamini tunaweza kuwaza magari
Chief nchi zinazounda magari unahisi zina hizo materials au zina import?Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining na sio na kitu kingine
Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza
- Steel kwa ajili ya bodi ya gari na parts za engine
- Aluminium kwa ajili ya kutengenezea parts za engine
- Copper kwa ajili ya kusuka mota kwenye swala la magari ya umeme
- PcB kwa ajili mfumo wa umeme wa gari
- Glass kwa ajili ya vioo
- Plastic
- Natural Rubber kwa ajili ya matairi
Ili utengeneze gari Tanzania inakubidi vitu nilivyovitaja hapoo juu uvi-import kwa maana hiyo hata ukisema unimport hivyo vitu basi gari utakalotengeneza hapa Tanzania litakuwa expensive na halitaweza kushindana kwenye soko la dunia
Ili tuweze kutengeneza magari hapa Tanzania inatakiwa tuwe na better ecosystem ya smelter kama ya steel, Aluminium, glass, petrochemical na pcb kama sehemu ya kuwa na better supply chain nzuri
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUA NA MPANGO WA KUZALISHA MAGARI UNIT MILLION 10 KWA MWAKA HII ITAKUWA NA FAIDA NYINGI SANA KWA NCHI
Materials wana-import mfano china hana iron ore bali ana-import kutoka Australia yeye China ana smelter nyingi za steelChief nchi zinazounda magari unahisi zina hizo materials au zina import?
Vipi watu wa viwanda vya computer ambao wako ulaya madini wanatoa Africa?
Hicho kiwanda hakijatushinda wahuni waliiba mitambo na kuhamishia Kenya wala hawakufunguliwa kesi yeyote ya Uhujumu Uchumi wanapeta tu..Kama hicho kimetushinda, cha magari tutaweza?
Mkuu vitu unavotaka kufanya huwezi fanya ukiwa RAISMchina anapenda shortcut ndo maana semiconductor zimemshinda japokuwa anapambana sana kuzi-master sio tu hizo hata combustion engine China zilimpa changamoto sana ndo maana kawekeza nguvu kubwa sana kwenye magari ya umeme
Hata kwenye pharmaceutical mchina bado ana-struggle sana sababu pharmaceutical kama ilivyo semiconductor haitaji ujaujanja bali ufahamu wa hali juu ili mtu aweze kuzi-master
Tanzania bidhaa nyingi zinazozalishwa Tanzania ni bei ghali kwa sababu ya uwepo wa kodi na tozo nyingi na serikali kutokutoa subsidy
Kwa hizo changamoto ndo maana mimi nataka kuwa Rais ili kuweza kuziondoa sababu ni kikwazo kikubwa sana kwa maendeleo ya viwanda Tanzania