Kujenga viwanda vya magari sio suala gumu, bali ugumu upo kwenye mambo yafuatayo

Ugumu upo kwenye supply chain. Mchina wanakwambia ni bingwa wa supply chain hapo ndipo alipoweza.
 
Ugumu upo kwenye supply chain. Mchina wanakwambia ni bingwa wa supply chain hapo ndipo alipoweza.
Supply inatengenezwa na nchi kuwa na smelter na refining za
  1. Steel smelter
  2. Aluminium smelter
  3. Copper smelter
  4. PCB
  5. Silicon wafer
  6. Natural gas refinery
  7. Crude oil refinery
  8. Glass smelter
  9. Rear earth refining
  10. Petrochemical
Ukiwa na hizo smelter hapo juu na zina-capacity kubwa basi automatic unakua na supply chain nzuri kwa ajili ya kuzalisha bidhaa yeyote ile
 
Mkuu.
Unaufahamu mchakato wa kuanzisha kiwanda ulivyo?
Mimi nikiwa Rais wa Tanzania mchakato wa kuanza viwanda ni kama ufuatavyo

Kwanza ntaanza na kujenga smelter na refining kama
  • Steel smelter
  • Aluminium smelter
  • Copper smelter
  • PCB fabrication
  • Silicon wafer
  • Natural gas refinery
  • Crude oil refinery
  • Glass smelter
  • Rear earth refining
  • Petrochemical
Kama nchi tukiwa na hizo smelter na refining basi itakuwa ni rahisi kuzalisha bidhaa yeyote Tanzania
 
Kwanini china ni bingwa wa rare earth elements wakati hazipatikani tu china? Ni kwa sababu ameweza kuziprocess and kuzirefine. Supply chain si kitu rahisi kukitengeneza na ndio maana india ana cheap labor kuliko china lakini hajaweza kuwa mbadala wake
 
Unaongea mambo yenye mantiki na kuangalia misingi ya mambo badala ya mambo yenyewe kama inavyotakiwa. Kwenye Demokrasia yoyote ana uwezo wa kuchagua. Na ili mtu kujua kuchagua vyema, kwanza anahitaji awe na uwezo wa kifikra. Cha kusikitisha ni kwamba asilimia karibu asilimia 70 ya Watanzania hawana uwezo huo. Wanahitaji kueleweshwa kanuni za ufikiriaji kabla ya hata kueleweshwa kwamba unahitaji natural resource refinement industries kabla ya kiwanda cha bidhaa zilizotokana na resources hizo.

Yaani kumfundisha mtu kuvua samaki badala ya kumlisha. Ndio maana nasema taifa bora linatengenezwa na wananchi wenyewe.

Wengi bado wanadhani magari yameshushwa na mungu muweza wa yote.
 
Maisha ni kuanzia chini. Sisi wa U.S. A Tungeanza na kutengeneza baiskeli zetu ndipo polepole tuhamie kwenye kutengeneza pikipiki , guta na bajaji alafu ndiyo turudi kwenye magari..

Tatizo linakuja sisi mataifa makubwa hata kutengeneza baiskeli hatuwezi kitu ambacho ni rahisi sana kutengeneza na material yote tunayo.
 
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUA NA MPANGO WA KUZALISHA MAGARI UNIT MILLION 10 KWA MWAKA HII ITAKUWA NA FAIDA NYINGI SANA KWA NCHI
Nenda pale kwenye karakana ya Masoud Kipanya uoneshe mfano.

Au mpaka ukipewa URAHISI ndio kila kitu kitakuja kwa kutamka tu
 
Nenda pale kwe ye karakana ya Masoud Kipanya uoneshe mfano.

Au mpaka ukipewa URAHISI ndio kila kitu kitu kitakuja kwa kutamka tu
Serious ile masoud unaweza ita kiwanda cha magari simlaumu masoud bali mifumo ime-mlet down ili niweze kuwasaidia kirahisi watu kama kipanya ni vizuri nikawa Rais
 
Jambo lolote lenye faida kubwa sio rahisi ni gumu ukiona jambo ni rahisi kila mtu anafanya basi ujue ni la kawaida
 
Kuliko kiwanda cha magari bora kuendeleza viwanda vy ujenzi wa reli na tram na treni kwa kuwa vikifanya kisasa vinaweza kuingiza pesa kuliko hata viwanja vya ndege .....
 
Kuliko kiwanda cha magari bora kuendeleza viwanda vy ujenzi wa reli na tram na treni kwa kuwa vikifanya kisasa vinaweza kuingiza pesa kuliko hata viwanja vya ndege .....
Magari yana-ela sana na sio complex kama viwanda vya treni

Reli kama reli siinatengenezwa na steel
 
Mkuu,Unafahamu mchakato wa kutengenza hizo smelter(Whatever that is)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…