Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ya shobo la PMIpi shemela
Hao kina Kaboom na wenzie waliotajwa 😃😃😃Eti hao ni kina nani babe
Shemela, hapana, mjibu tu hapahapa jioni irudie uzuri wakeAchana nayo hiyo shemela, au nikupe pasiwedi yangu unisaidie kujibu hiyo meseji
Hehehe wakat mwingine uwe unasoma na kilicho ndani ya Shoboo , sio mpaka nimwage mtama [emoji6].. Ivi hujiulizi hizi shobo za leo vipi?? .Hata mimi nashangaa maana sio kwa shobo hizi leo. Hadi nikahisi kama sio kuna kitu umepata basi kuna kitu unatafuta
Shemeji mtu unalinda mali mpaka Mitandaoni.Shemela, hapana, mjibu tu hapahapa jioni irudie uzuri wake
Shemela HUJAJIBU vizuri... Na imeongezeka komenti ya utumwa... NAFWA MIMIMbona nimemjibu shemela, soma vizuri
Hehehe wakat mwingine uwe unasoma na kilicho ndani ya Shoboo , sio mpaka nimwage mtama [emoji6].. Ivi hujiulizi hizi shobo za leo vipi?? .
Ndio kuna kitu nakitafuta, nakitu chenyewe ni mimi kutafuta ukubalio wako ili niwe kama mtumwa, nitakayekua tayar unitumikishe mahali popote,muda wowote utakao.
Iwe ni kukuweka sawa kama hivi ..wewe tuuuu.
Huna athari mdomoni, Nina mashaka na surualini Kuna athari...Shemeji mtu unalinda mali mpaka Mitandaoni.
Mimi sina athari shemela wake
Ayaaaaa haya ndo mabalaa sasa..inamaana namba yangu inaenda kua ya jamii??Achana nayo hiyo shemela, au nikupe pasiwedi yangu unisaidie kujibu hiyo meseji
Shemela, huyu Mrusi kaamua ujuwe... Zana zote unazo wewe....Mimi na wewe hatujazoea kushobokeana bwana, hicho unachotaka (sikijui maana sijaweza kusoma katikati ya mistari) hapa kwangu hakipo
Kamefika na Kana majibu....Ayaaaaa haya ndo mabalaa sasa..inamaana namba yangu inaenda kua ya jamii??
Paw JamiiForums . Kale kaPM kangu kwenda kwa Khantwe mkasitishe juu kwa juu km bado hakajafika.
Mzee baba..wa mwisho ndo mshindiDah nimechelewa
Kufanya nini?Dah nimechelewa