Kujeni mnipe kampani

Kujeni mnipe kampani

Pole sana, mafua huwa ni "ugonjwa na nusu".
Yakiambatana na koo kuwasha, masikio, macho halafu pua ziwe zimeziba duu.
Pole sana hope unaendelea vizuri na dawa unatumia.
 
Kwa hiyo hapo ulisumbuka vipi wakati jambo nililoomba kusaidiwa hata hukunisaidia
Nilisumbuka kisaikolojia yaani nimezubaa vipi hadi unakuja kuomba msaada wa kampani jukwaani. Nimeteseka kwa kweli
 
Pole sana, mafua huwa ni "ugonjwa na nusu".
Yakiambatana na koo kuwasha, masikio, macho halafu pua ziwe zimeziba duu.
Pole sana hope unaendelea vizuri na dawa unatumia.
Ahsante mrembo, nawashangaa wanaobeza mafua...mimi binafsi huwa yananitesa sana maana yanaambatana na maumivu ya kichwa pamoja na homa kali.,..pua zinaziba yaani kero tupu. Dawa huwa mara nyingi situmii huwa nayaacha yapone yenyewe
 
Namba nifanyie nini sasa
For insurance purposes!! Kwa case kama hii nilitakiwa niwe wa kwanza kukupa kampani lkn kwakua hii ni mitandao nahii ndio JF kunakulog in na out, nmechelewaa.

Sasa sitaki niwe wa mwisho tena , napenda case km hii iwe resolved kwanzaa nje ya JF.

Hili litafanikiwa ikiwa tu utanitext.." oyaaa nko ovyo, nipe kampani"

Plz plz plz, unitext kwenye hiyo namba.
 
Teh leo naona umepata balimi
 
Khantwe khantweee , sijawahi hata gusa chupa ya kilevi mama [emoji40]

Ninachosema namaanisha, usiseme kua kaPM kangu hujakaona uko [emoji23]

Sema leo leo nmeamua kukushobokea [emoji23][emoji23][emoji23]mzima mzima
Hata mimi nashangaa maana sio kwa shobo hizi leo. Hadi nikahisi kama sio kuna kitu umepata basi kuna kitu unatafuta
 
Back
Top Bottom