Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M ningependa nije hapo ulipo, nisogee hapo buzuruga?Ndugu zangu,
Leo nipo ovyo, naumwa mafua, nimechoka, siwezi kufanya chochote,natamani kulala sina usingizi. Wenye mapenzi mema njooni hapa tupige stori muda usogee.
Uzi tayari
We tutatalk kesho ushatinga now hatuwezi kuelewana ndio maana unang'ang'ania kUtatoa k nije?
Hii ni adhabu kubwa sana..NipunguzieNimekununia
Mumeo alikuwa wapi?Ndugu zangu,
Leo nipo ovyo, naumwa mafua, nimechoka, siwezi kufanya chochote,natamani kulala sina usingizi. Wenye mapenzi mema njooni hapa tupige stori muda usogee.
Uzi tayari
Mnagombania nini sasa?Ukiona amekuja huku ujue ndani kuna moto
Sikumbuki mara ya mwisho kucheka kama leo ilikuwa liniWanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.