Haurudi kabisa au ndo mziki wake umeona mkubwa kulikoHahaha candle nilishaanza kuzisahau
Siulale sasa!Kilichonichosha sio mafua ndugu, siku ya leo nilikuwa na pilika nyingi mno
ukirudi uniambie tuwe tunashinda wote kwenye hiyo nanii na $500 nitakuchangia uzipotezeNitarudi siku isiyo na jina
urudi kwanza nijue umerudi rasmi ndo nikumegeeNipatie kabisa basi nirudi
Wanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.
Tatizo lako hujioni ulivyo mpuuzi, ila kwa vile ni ke tunakustahimili. You need to mature! Hivi unawezaje kuanzisha uzi kama huu iwapo si changudoa?
Mwanani! Mwanamayo unajua ukitaka kuanzisha uzi ni muhali ukajitathimini wewe hadhi yako na uzi wenyewe. Wabeja mwanakoiMbona povu mzee baba
Mwanani! Mwanamayo unajua ukitaka kuanzisha uzi ni muhali ukajitathimini wewe hadhi yako na uzi wenyewe. Wabeja mwanakoi
Mshukuru Mungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]......nimecheka jamani..hahahaha....kuna rafiki angu wa karibu sana akiumwa mafua anaugua kbs..namuulizaga uko serious au??[emoji23][emoji23][emoji23]..mafua hayajanilaza bado aisee