Kujeni mnipe kampani

Kujeni mnipe kampani

Wanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.


😂😂😂😂😂😂😂......nimecheka jamani..hahahaha....kuna rafiki angu wa karibu sana akiumwa mafua anaugua kbs..namuulizaga uko serious au??😂😂😂..mafua hayajanilaza bado aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]......nimecheka jamani..hahahaha....kuna rafiki angu wa karibu sana akiumwa mafua anaugua kbs..namuulizaga uko serious au??[emoji23][emoji23][emoji23]..mafua hayajanilaza bado aisee
Mshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom