Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,147
- 2,513
karibun
Habari wadau,
Kama kuna anayehitaji bero la viatu vya mtumba kutoka korea ya kusini vinapatikana kwa sh. 220,000 tu kwa bero moja KWA VIATU VYA KIUME
1. Ni viatu vya mtumba lakini ni kama vipya
2. Bero moja la viatu hukaa wastani wa pair 55 na 60 za viatu kwa kawaida pair 60
3. Tupo DSM ila hata wa mikoan ipo njia ya kuwafikishia mzigo
4. Kwa viatu vya kike ni sh. 130,000 kwa bero na huwa na wastani wa pair 80 had 90 za viatu
Viatu vinapatikana kwa oda maalumu.. Na wanaouziwa ni wale walioweka oda pekee.
Piga simu namba 0758176058 kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuweka oda
KARIBUNI SANA.
Uzi mzuri sana, ila nakuomba uweke picha basi ya aina za viatu unavyosema ili wadau tuone , kisha mtu ajue anaweka oda kitu cha namna ipi.
Ukiweka oda yako unavipata kwa mda gani na tuwekee sample bac tuone
Habari wadau,
Kama kuna anayehitaji bero la viatu vya mtumba kutoka korea ya kusini vinapatikana kwa sh. 220,000 tu kwa bero moja KWA VIATU VYA KIUME
1. Ni viatu vya mtumba lakini ni kama vipya
2. Bero moja la viatu hukaa wastani wa pair 55 na 60 za viatu kwa kawaida pair 60
3. Tupo DSM ila hata wa mikoan ipo njia ya kuwafikishia mzigo
4. Kwa viatu vya kike ni sh. 130,000 kwa bero na huwa na wastani wa pair 80 had 90 za viatu
Viatu vinapatikana kwa oda maalumu.. Na wanaouziwa ni wale walioweka oda pekee.
Piga simu namba 0758176058 kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuweka oda
KARIBUNI SANA.
Mkuu bila picha ni ngumu kuagiza kitu kabla hujakiona.
mkuu usije uzia watu mafua mana mwenyewe nahtaj xana.
mkuu usije uzia watu mafua mana mwenyewe nahtaj xana.
mmmh usije niuzia malonya lonya ya viattu yale yanayokosa soko na kumwagwa pale manzese darajani!... je ninaweza kuchagua?
Mkuu kwa nini ulipie kwanza kati ya wiki ndipo upate mzigo week end? What if mukiwa na mzigo then mtu anakuja kulipia tu na kuondoka na mzigo wake kabisa?
Mi naitaji bt ngoja nkutafute whassap.
Tunafanya hivyo kutokana na demand kuwa kubwa kuliko supply
kama unavyojua urasimu wa kutoa mzgo bandarini
hata hivyo titajitahd kurekebisha ili kila mtu alipie mzgo cash na kuondoka nao mda huohuo
tafadhali tuwasiliane zaid kwa namba 0758176058
pia inapatikana watsap
KARIBU SANA