Kujiajiri: Biashara ya viatu vya mtumba kwa mtaji wa sh. 220,000 tu

Ukiweka oda yako unavipata kwa mda gani na tuwekee sample bac tuone
 

Uzi mzuri sana, ila nakuomba uweke picha basi ya aina za viatu unavyosema ili wadau tuone , kisha mtu ajue anaweka oda kitu cha namna ipi.
 
Uzi mzuri sana, ila nakuomba uweke picha basi ya aina za viatu unavyosema ili wadau tuone , kisha mtu ajue anaweka oda kitu cha namna ipi.

Viatu ni mchanganyko.. Raba.. Vya mpira.. Vya ofisi.. Sandles.. Vya kike n.k

hata hvyo hapa jamii forums nimejaribu sana kuweka picha zinafail
 
Ukiweka oda yako unavipata kwa mda gani na tuwekee sample bac tuone

kwa kawaida tunapakua mzigo ijumaa na jumamosi hugawanywa kwa wateja waliolipia oda zao... Hivyo hutegemea mteja huweka oda lini.. Ila ndan ha week
Picha zinafeli
 
Mkuu bila picha ni ngumu kuagiza kitu kabla hujakiona.
 

Dsm upande gani nine kuona sample...nipe physical address mkuu!!
 
mmmh usije niuzia malonya lonya ya viattu yale yanayokosa soko na kumwagwa pale manzese darajani!... je ninaweza kuchagua?
 
mkuu usije uzia watu mafua mana mwenyewe nahtaj xana.
 
Mi naitaji bt ngoja nkutafute whassap.
 
Mkuu kwa nini ulipie kwanza kati ya wiki ndipo upate mzigo week end? What if mukiwa na mzigo then mtu anakuja kulipia tu na kuondoka na mzigo wake kabisa?
 
Mkuu kwa nini ulipie kwanza kati ya wiki ndipo upate mzigo week end? What if mukiwa na mzigo then mtu anakuja kulipia tu na kuondoka na mzigo wake kabisa?

Tunafanya hivyo kutokana na demand kuwa kubwa kuliko supply

kama unavyojua urasimu wa kutoa mzgo bandarini

hata hivyo titajitahd kurekebisha ili kila mtu alipie mzgo cash na kuondoka nao mda huohuo

tafadhali tuwasiliane zaid kwa namba 0758176058
pia inapatikana watsap

KARIBU SANA
 


Vp mkuu, mi sikuoni whatsapp. kwa uzoefu wako kiatu cha bei ya chini kabisa unaweza kuuza bei gani na kile kizuri kabisa kinaweza kuuzwa bei gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…