Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Dharau na Jeuri kumemgharimu Kipa Djigui Diara leo na Kuruhusu Goli jepesi na la Kizembe

Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Dharau na Jeuri kumemgharimu Kipa Djigui Diara leo na Kuruhusu Goli jepesi na la Kizembe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile.

Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
 
ila pale yao kwasi kafanya marking mbovu, goli limetokea upande wake. Diarra alikua hana namna zaidi ya kujihami.
 
Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile.

Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
sio goal keeper,diarra ni goal player,baada ya kuona yao yao jeshi hayupo,alifanya anticipation ya kwenda kuzuia mpira,maalul akapiga cut back pass,shahat akafunga,sio uzembe;bali ni kitendo reflex ambacho kama angesevu ni wazi angesifiwa but that is football.yanga wamecheza mpira vizuri na sio mchezo high intensity football lakini ahly wamecheza high intensity football,hongera sana yanga
 
Mbona kwa lile Shuti Kali la Kibudenga mwaka jana hakutokea ili limpeleke Mochwari kabisa?
muktadha wa tukio lile si sawa na huu wa leo,mazi gira yanayosababisha unye,hayawi sawa na yale yanayokutaka ukojoe,ukibanwa kunya unakunya na ukibanwa kukojoa unakujoa
 
We popoma ule mpira ulipita mabeki wangapi hadi likawa goli?
 
Mngekuwa mna jishughulisha na mambo yenu, hata leo hii usingekuwa na hofu ya game yenu... Lakini kutwa kuiongelea YANGA. Poleni sana kolouzdad
 
We hatutaki uzungumzie timu yetu, wewe ni mental case.
 
Back
Top Bottom