Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Dharau na Jeuri kumemgharimu Kipa Djigui Diara leo na Kuruhusu Goli jepesi na la Kizembe

Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Dharau na Jeuri kumemgharimu Kipa Djigui Diara leo na Kuruhusu Goli jepesi na la Kizembe

Sasa masuala ya mama yanaingiaje kwa majibu haya inaonesha jinsi gani akili zako hamnazo
Hata Mimi GENTAMYCINE ninayeambiwa Mental Case pia ni Baba Mzazi wa Mtu vile vile.

Pumbavu nikiwa Nachokozwa, Natukanwa na Nadhalilishwa Kutwa hapa JamiiForums huwa mnanyamaza na pengine hata Kufurahia ila Bingwa wa Maneno yote ya Karaha na Umiza duniani nikiamua tu kujibu Mapigo yangu Makali ndipo huwa mnawashwashwa kama Malaya wa Meeda Bar Sinza kuja Kunilaumu na kuniona Mimi ni Mtukutu / Mkosaji Mkuu hapa Jamvini.

Mnafiki / Wanafiki wakubwa nyie. Niheshimu ili nami Nikuheshimu ila ukileta Uhuni Mimi sasa ndiyo nakuonyesha nilivyo Mhuni, Msela halafu Msomi mzuri tu vile vile. Na mtanyooka tu na Mimi.
 
Popoma genta kama genta kolouizdad
 
Back
Top Bottom