GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
ila pale yao kwasi kafanya marking mbovu, goli limetokea upande wake. Diarra alikua hana namna zaidi ya kujihami.Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile.
Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
Hakutakiwa kukurupuka kuwahi Kutokea wakati bado akina Baka na Job wangeokoa ile move.ila pale yao kwasi kafanya marking mbovu, goli limetokea upande wake. Diarra alikua hana namna zaidi ya kujihami.
Mbona kwa lile Shuti Kali la Kibudenga mwaka jana hakutokea ili limpeleke Mochwari kabisa?Diarra kafanya vizuri kutoka maana hakuna hata beki mmoja aliyeenda kukaba
Ila kukupa Mimba zangu kila mwaka ( Dabali Dabali ) si najua zaidi au?Popoma huna unachojua kuhusu mpira
Ila we jamaa baña!!!!Ila kukupa Mimba zangu kila mwaka ( Dabali Dabali ) si najua zaidi au?
sio goal keeper,diarra ni goal player,baada ya kuona yao yao jeshi hayupo,alifanya anticipation ya kwenda kuzuia mpira,maalul akapiga cut back pass,shahat akafunga,sio uzembe;bali ni kitendo reflex ambacho kama angesevu ni wazi angesifiwa but that is football.yanga wamecheza mpira vizuri na sio mchezo high intensity football lakini ahly wamecheza high intensity football,hongera sana yangaUkinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile.
Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
vipi kama asingetoka na na baca job wasingeokoa hapa ungekuja na hadithi kuwa diarra alitakiwa kutokaHakutakiwa kukurupuka kuwahi Kutokea wakati bado akina Baka na Job wangeokoa ile move.
muktadha wa tukio lile si sawa na huu wa leo,mazi gira yanayosababisha unye,hayawi sawa na yale yanayokutaka ukojoe,ukibanwa kunya unakunya na ukibanwa kukojoa unakujoaMbona kwa lile Shuti Kali la Kibudenga mwaka jana hakutokea ili limpeleke Mochwari kabisa?
Uliwapita Mabeki 79.We popoma ule mpira ulipita mabeki wangapi hadi likawa goli?