Huko jangwani ni vilio usiku kucha wasiyemtaka kaingia ukumbiniNilishangaa mno kuona Benchi zima la Ufundi la Singida Fountain Gate FC pamoja na Msemaji wao Hussein Masanza aliyekuwa Jukwaani wakimhiimiza Mwamuzi Kumaliza Mechi huku nyuso zao zikiwa na uhakika na Dharau kwa Kipa wa Simba SC Ally Salim.
Wakijiaminisha kuwa siyo mzuri kwa Mikwaju ya Penati baada ya Kufungwa zote nchini Morocco na Wydad Casablanca FC katika Robo Fainali ya CAFCL msimu uliokwisha.
Kupata au kukosa Penati ni makosa au ubora wa mpigaji sio ubora wa golikipa.Wydad siyo Singida. Mpaka leo siamini mechi ya Wydad kama Wydad hawakunasa mipango ya kupiga penati ya Simba kwa kamera au jasusi basi kuna mtu kwenye benchi la Simba aliiuza mipango hiyo Wydad. Kipa wa Simba alielekezwa aende upande mmoja penati zote ili zitakazopigwa huko azicheze na Wydad wakazipiga upande mwingine almost zote
Vyote vinategemeanaKupata au kukosa Penati ni makosa au ubora wa mpigaji sio ubora wa golikipa
nilisikia vilio hapa kwa jirani yangu nyumba ya pili ambao ni utopolo kufa...kudadisi na kuulizia kulikoni nikaambiwa kisa simba kaingia fainali. Usiyemtaka kaja!!!!!Hapa Tanga watu wambea sana,hivyo kawaida demu anatangulia gesti mwanaume anakuja baadae tena kwa 'kificho'(ndiyo yale matuta) kinachofuata ni mikito tu na tutawakita kweli j2