Nilishangaa mno kuona Benchi zima la Ufundi la Singida Fountain Gate FC pamoja na Msemaji wao Hussein Masanza aliyekuwa Jukwaani wakimhiimiza Mwamuzi Kumaliza Mechi huku nyuso zao zikiwa na uhakika na Dharau kwa Kipa wa Simba SC Ally Salim.
Wakijiaminisha kuwa siyo mzuri kwa Mikwaju ya Penati baada ya Kufungwa zote nchini Morocco na Wydad Casablanca FC katika Robo Fainali ya CAFCL msimu uliokwisha.
Wakijiaminisha kuwa siyo mzuri kwa Mikwaju ya Penati baada ya Kufungwa zote nchini Morocco na Wydad Casablanca FC katika Robo Fainali ya CAFCL msimu uliokwisha.