Kujiamini kwingi kulimponza Tenshin Nasukawa katika pambano lake la ndondi dhidi ya Floyd Mayweather Jr

Hayo maonesho si ndo yalikua maonesho ya ndondi au......sasa ye kakosea nn....ye kaeleza kile kilichooneshwa ulingoni.......kuhusu kama ni maenesho ya kufurahisha wajapan au kukera hyo haikumuhusu yeye na ndo mana hakuoneshwa hao wajapan wakicheka na kufurahi....alioneshwa ndondi....na ndo alichokieleza....sasa wew unateseka nin?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada una mipasho... Umekuja kumtetea bwana ako kwa nguvu zote....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…