godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maonesho si ndo yalikua maonesho ya ndondi au......sasa ye kakosea nn....ye kaeleza kile kilichooneshwa ulingoni.......kuhusu kama ni maenesho ya kufurahisha wajapan au kukera hyo haikumuhusu yeye na ndo mana hakuoneshwa hao wajapan wakicheka na kufurahi....alioneshwa ndondi....na ndo alichokieleza....sasa wew unateseka nin?Wewe hujui boxing. Umehadithiwa ukaja kufungua uzi. Hakukuwa na kitu pale.... Yake yalikuwa maonesho tu na kufurahisha watu wenye pesa huko Japan. We umekaa ukafikiri likikuwa pambano la maana. Kabla hujajifanya mchambuzi soma kwanza au uliza kwa wanaojua. Unakuja kujaza nzi tu hapa.
Hayo maonesho si ndo yalikua maonesho ya ndondi au......sasa ye kakosea nn....ye kaeleza kile kilichooneshwa ulingoni.......kuhusu kama ni maenesho ya kufurahisha wajapan au kukera hyo haikumuhusu yeye na ndo mana hakuoneshwa hao wajapan wakicheka na kufurahi....alioneshwa ndondi....na ndo alichokieleza....sasa wew unateseka nin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada una mipasho... Umekuja kumtetea bwana ako kwa nguvu zote....[emoji23][emoji23][emoji23]