Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nipite huko leo nione hivyo wanajianika.
Bado sijapata jibu kuhusu hii kitu. Kwa muda sasa kumekuwa na hii kitu mjini dodoma. Nyakati za jioni kunakuwa na wakina dada wengi 'wanajianika' eneo la Nyerere Square mijni dodoma.
Nilichogundua, wengi wa hao ni wanafunzi wa vyuo vikuu vya hapa mjini. Ukizingatia kwa sasa vyuo vingi vinafundisha hadi wakati wa usiku, sasa sielewi, muda mwingi wanaokaa eneo hili lengo lao hasa ni lipi na je ni wakati gani wanajisomea?