Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali, Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama.
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia CCM kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya CCM huko Dodoma, pale alipowakaribisha ndani ya CCM.
Usaliti ni laana
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia CCM kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya CCM huko Dodoma, pale alipowakaribisha ndani ya CCM.
Usaliti ni laana