CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Viongozi wetu walikamatwa kabla hakujakucha,na walikuwa wamejitoa kuwa front line kuongoza maandamo.Mbona nyie mliwapata moyo viongozi wenu kua mtaandamana 'kwa amani' asubuhi yake hamkutoa pua zenu nje,
Huo sio USALITI?
Ukisikia chadema ni ccm na ccm ni chadema hii ndo maana yake. Eti na bado utasikia "chadema ni chama makini" bali vingine vinatumiwa na ccm; how?We ulisikia wapi hata mawaziri wakuu wastaafu kujivua uanachama wa chama tawala na kujiunga na chama kingine?!
CDM sio ccm ndo sababu hao ma-alwatan wa ccm wameshindwa ku-fit wamerejea kwa mataga hukoUkisikia chadema ni ccm na ccm ni chadema hii ndo maana yake. Eti na bado utasikia "chadema ni chama makini" bali vingine vinatumiwa na ccm; how?
Siyo kwamba Chadema haiwataki isipokuwa imewaadhibu na wakiomba msamaha watarudi.Kama chadema hawawataki wahamie chama chochote ili mradi wanawatumikia watanzania
Mbona nyie mliwapata moyo viongozi wenu kua mtaandamana 'kwa amani' asubuhi yake hamkutoa pua zenu nje,
Huo sio USALITI?
Wakafie huko hao COV 19Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Halima na wenzake hawahamii CCM kwa kwa vile bado hawajafukuzwa CDM. Wamezuiliwa kuwa viongozi, bado wanachama. Azimio sio uamuzi. Wataendelea kuwa wabunge na azimio halitapitishwa!Hii ndio Taarifa ya sasa iliyozagaa kila mahali , Halima Mdee na waliomtuma wameshindwa kujibu mapigo kama walivyoahidi kutokana na kukosa hoja ya kupangua mawe mazito yaliyotupwa na Kamati kuu baada ya kuwavua uanachama .
Badala yake kunafanyika maandalizi ya kuhamia ccm kama alivyotanabaisha Bashiru kwenye vikao vya ccm huko Dodoma , pale alipowakaribisha ndani ya ccm .
Usaliti ni laana
Wakiwa Wabunge wa chama gani cha siasa?Kama chadema hawawataki wahamie chama chochote ili mradi wanawatumikia watanzania
MaCCM hovyo sana, Mnaongea sasa, Wameunga juhudi ila mlitaka kutuletea mambo yenu ya kichawi mliowafanyia CUF.Hata wasipohamia CCM wale wanajielewa na wanaunga mkono juhudi za serikali ya CCM
Ndio sababu ya ninyi kurudi nyuma?Viongozi wetu walikamatwa kabla hakujakucha,na walikuwa wamejitoa kuwa front line kuongoza maandamo.
Kila siku hua nasema Tz haina chama cha upinzani kilicho shiba cha kuweza kuitoa Ccm madarakani, sababu wanachama wa vyama hivyo msimamo hawana na uoga umetawala,Kifupi yaliyopangwa yametimia kwa asilimia 100+, Sasa kilichobaki Ni kupima output ya hii mipango. Kwa maana vyama vya siasa vitajifia kwa kukosa ruzuku. Maana nchi nzima,vimepata wabunge wawili tu,Tena wa vyama tofauti. Kama maendeleo yanapatikana kwa kasi zaidi nchi yetu ikiwa haina vyama shindani bungeni, Basi sawa. Kikubwa Ni maendeleo ya nchi na wananchi wake.
Hilo ndilo kubwaTunajua kabisa watawapa reward, hilo linajulikana.....Wawape na ukuu wa Mikoa na uwaziri.......................... lkn CDM itaheshimu misingi yake.
Kama huishi Vingunguti Basi utakuwa unaishi buza au tandale [emoji2957]Domo refu kama chupa kazi umbeya tuuu !
Haujui kanuni za utawala.Halima na wenzake hawahamii CCM kwa kwa vile bado hawajafukuzwa CDM. Wamezuiliwa kuwa viongozi, bado wanachama. Azimio sio uamuzi. Wataendelea kuwa wabunge na azimio halitapitishwa!
Wajinga ndio waliwao. Waume zao, wajumbe wa kamati kuu si wajinga na ndio maana wamevuliwa nyadhfa zote lakini cc imeazimia kuwafukuza uanachama.
Kwa nini wasingewafukuza uanachama tu halafu nyadhfa zingeondoka automatically?
Wameanza kuwavua nyadhfa, wakafuata kuweka azimio la kuwafukuza uanachama. Kwa nini maneno yooote haya, kwa nini sarakasi zote hizi?
Wale ni wabunge, na mpaka chama kipeleke taarifa kwa spika ya kuwafuta wanachama wake uanachama hapo ndipo Mbunge anavuliwa ubunge wake na si kwa azimio tu tena kwa matangazo ya youtube
Wewe unayejua uje hapa uoneshe umahiri wako siku ikitokea tofauti na niliyoyasemaHaujui kanuni za utawala.
Kanuni za vyama na ajira, usipotii wito wa mkuu wako unaweza ukafukuzwa uanachama au kazi.Wewe unayejua uje hapa uoneshe umahiri wako siku ikitokea tofauti na niliyoyasema
Cha ajabu ni kwamba kila wanachopanga kuongea kinavuja !Bora wakae kimya kuliko kuharibu zaidi
Hata Dr slaa mlimuita msaliti na matusi ya kutosha mlimtukana lakini tangu ameondoka hali ya chadema inazidi kudhoofika kila siku, hata nafsi zenu mnajua pale mlikosea,hawa nao watukaneni muwezavyo lakini mjue chama ndo kinaelekea kibra hivyo, na wala msiamini chadema itakuja kuwa na nguvu tena kwa aina ya viongozi kama Mnyika, salum mwalimu sijui kigaila mtaendelea kufanya harakati na sio siasa za kuchukua dora.Hebu cheki pepo la usali linaitafuna Chadema. Ukistaajabu ya Lema utayaona ya Mrema. Viva Roma viva.............eeeh bendera.............