Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nadhan kavukavu ndo tamu zaidi....au...?Vaa kabisa condom kiongozi hata majini yana vvu
Mku una Jini mahaba ndilo linakufanya uwe unajichafua ukiwa usingizini ukifanya mchezo utashindwa kuowa au kukaa na mke au kuwa na mpenzi utakuwa unagombana na wapenzi wako. Ukihitaji dawa ya kulitoa hilo Jini mahaba aka Pepo mchafu unaweza kunitafuta kwa wakati wako.wakuu mimi nna tatizo moja.. yan kila nikilala kifudifudi nkiamka najikuta nmejichafua na sperms*/ hata nisipoota ndoto nyevu, ni nini suluhisho LA hili tatizo??? mana siipend sana hali hii na inatokea Mara kwa mara, lakini nashindwa kukabiliana nayo.
ni kawaida kabisa, kujipiga bao sio mpaka uote sometimes nocturnal penile tumescence inayotokea wakati wa REM sleep (uume kusimama usingizini) inaweza kusababisha excitation ambayo inaleta bao ukizingatia unapolala kifudifudi uume unakua unaguswaguswa na kitanda ingawa hii inaweza kutokea hata ukiwa umelala chaliwakuu mimi nna tatizo moja.. yan kila nikilala kifudifudi nkiamka najikuta nmejichafua na sperms*/ hata nisipoota ndoto nyevu, ni nini suluhisho LA hili tatizo??? mana siipend sana hali hii na inatokea Mara kwa mara, lakini nashindwa kukabiliana nayo.