Kujichafua usingizini

Kujichafua usingizini

Black7

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
367
Reaction score
116
wakuu mimi nna tatizo moja.. yan kila nikilala kifudifudi nkiamka najikuta nmejichafua na sperms*/ hata nisipoota ndoto nyevu, ni nini suluhisho LA hili tatizo??? mana siipend sana hali hii na inatokea Mara kwa mara, lakini nashindwa kukabiliana nayo.
 
Inasababishwa na joto unalopata ukiwa umelala kifudifudi. Jaribu kulala kwa ubavu uone kama itatokea tena
 
Usilale kifudi fudi sababu ukilala hivo unaongeza joto huko Ikulu ko sperm zinatoka tu
 
Tumeelekezwa tulale chali ama kwa ubavu
 
wakuu mimi nna tatizo moja.. yan kila nikilala kifudifudi nkiamka najikuta nmejichafua na sperms*/ hata nisipoota ndoto nyevu, ni nini suluhisho LA hili tatizo??? mana siipend sana hali hii na inatokea Mara kwa mara, lakini nashindwa kukabiliana nayo.
Mku una Jini mahaba ndilo linakufanya uwe unajichafua ukiwa usingizini ukifanya mchezo utashindwa kuowa au kukaa na mke au kuwa na mpenzi utakuwa unagombana na wapenzi wako. Ukihitaji dawa ya kulitoa hilo Jini mahaba aka Pepo mchafu unaweza kunitafuta kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Maalim Saad Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
wakuu mimi nna tatizo moja.. yan kila nikilala kifudifudi nkiamka najikuta nmejichafua na sperms*/ hata nisipoota ndoto nyevu, ni nini suluhisho LA hili tatizo??? mana siipend sana hali hii na inatokea Mara kwa mara, lakini nashindwa kukabiliana nayo.
ni kawaida kabisa, kujipiga bao sio mpaka uote sometimes nocturnal penile tumescence inayotokea wakati wa REM sleep (uume kusimama usingizini) inaweza kusababisha excitation ambayo inaleta bao ukizingatia unapolala kifudifudi uume unakua unaguswaguswa na kitanda ingawa hii inaweza kutokea hata ukiwa umelala chali
 
Back
Top Bottom