Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

Kwa uzuri upi lakini. Embu niacheni msiwajaze watu ujinga wakaamini bure
Uzuri hutegemea vigezo vya mlaji/mhusika ila urembo ni vile mtu anajiweka ili awe presentable.

Unavyo vyote among hivyo viwili.
 
nimepita zangu kimya kimya tu.

ushauri.. mnaopenda kuwachezea visimi wanawake tambueni kwamba wapo ambao wakifika kileleni (hasa wale wanaofikia hatua ya kutetemeka miguu au kupata mikunjo ya tumbo wakati wa kufika kileleleni orgasm point ) huwa hawapendi kuendelea kuguswa kisimi baada ya hapo.

NIni cha kufanya? mpe muda kidogo ndipo uanze tena ukilazimisha atakataa afu utamuona mshamba au anakukera kumbe ni hali ya kawaida tu.
bye..
Hii ishawahi nitokea,manzi aliniambia mwenyewe basi inatosha..mi nilikuwa nadhani ili afike kileleni ni lazima asquirt..hili likoje mkuu?
 
squirting
female ejaculation
and orgasm nadhani ni vitu vitatu tofauti vinavyo wachanganya wengi.

kwa ninavyo jua...
female ejaculation huenda sambamba na orgasim/kilele kwasabb mwanamke hawezi ku ejaculate bila kuwa amefika kileleni/orgasm

sasa wengine watachanganya female ejaculation na ile normal discharge ya mucus fluid/ule uterezi wa kulainisha uke wakati wa kujamiiana

kwa maneno mafupi ukisikia mwanamke amekojoa ndo tunaita female ejaculation hii inatokea baada ya au sambamba na kufikia kilele/orgasim

kwa upande sasa wa squirting hiyo ndio kwa wahaya huenda sambamba na ile sexual arts inayo itwa katerelo wakati kwa watu wengine ambao hawapendi kutumia uume ku piga katerelo huweza kutumia tu hata vidole kumfanya mwanamke arushe maji/squirting hapa mwanamke anaweza ku squirt ila asiwe amefika kileleni/orgasm

utajuaje ka orgasm?
•kuna internal orgasm ambayo haihusishi ejaculation bali misuli ya uke husinyaa au tuseme kujikunjakunja (nadhani unajua mambo ya contractions and expansion) hapa utahisi uume unabanwabanwa hivi na zile nyamanyama za ndani ya uke (nimekosa kiswahilikizuri cha kutumia) na kwa wenye uume legelege hapa undo unajikuta uume unachomoka tu bila sababu

•aina ya pili ndio inahusisha orgasm yenye ejaculation ambayo wengi huita kukojoa na wengine hulia kabisa bby nakojoa nakojoa...

baada ya hapo utaona chuchu zimesinyaa, kule chini panaweza kukauka/kukosa majimaji , mwili wake utalegea wengine huona aibu na kutaka kugeukia ukitani na wengine hushusha pumzi ndefu afu wanabaki kama wamepigwa butwaa.

point to note:
orgasm kitafiti wanasema inachukua sekunde 30 (yaani kule kupapatika kama samaki kikaangoni mapigo ya moyo kuongezeka kasi na hiyo misuli sijui niziitenyama za ndani ya uke kusinyaa na kutanuka n.k)
 
Hapa umetisha mkuu...
 
Back
Top Bottom