Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Tusibishane Sana, vingi uko sahihi, vichache ndo sikubaliani na wewe, hasa hapo kwenye wanawake wa kijijini hawafanywi kwa miaka 2, sijui unaongelea Kijiji gani hicho, nimeishi sana huko vijijini, mazee watu wanakulana kule si kitotoNoelia, naomba nisiongee sana kwenye hii nyeto kwasababu naipinga na ninaamini ni dhambi kuifanya. lakini vingine umesema ukweli, umbali na vitu vingine. but ukweli mchungu ni kwamba, sisi wanaume tunavijua zaidi viungo vyenu ninyi wanawake kuliko ninyi mnavyojijua, na ni kwa sababu sisi