Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

Kupitia michango ya dada zangu hapa, nimegundua kua wanawake wengi wanajichua na wachache miongoni mwao ndo hawapendi mchezo huo. Cha ajabu sijaona hata mmoja anaekemea kwamba ni kinyume na mafundisho ya dini. Acheni kuendekeza feelings zenu kujichua ni HARAM.
 
Dini zinakataa hata kuangalia mwanamke asiekuwa mkeo,je wewe huangalie wanawake Mkuu..
 
Sasa ukiwa na mtu wako si bora umwambie kabisa akishike wapi ili uridhike, me nikimuweka mtu kati nasurvey kila mahali ili nijue mzuka wake uko wapi japo sometimes lazima aulizwe ni wapi anapenda ashikwe ili aridhike
Mi sifanyi sababu nakosa wakunifanyia kitu
Nafanyiwa kilaa kitu nakojozwaaaaa
Mpaka mwisho
Ila sasa nina jisikia tu mwenyewe kufanya hivyo
 
Kupitia michango ya dada zangu hapa, nimegundua kua wanawake wengi wanajichua na wachache miongoni mwao ndo hawapendi mchezo huo. Cha ajabu sijaona hata mmoja anaekemea kwamba ni kinyume na mafundisho ya dini. Acheni kuendekeza feelings zenu kujichua ni HARAM.
Kwani humu tupo jukwaa la dini?
 
Dini zinakata hata kuangalia mwanamke asiekuwa mkeo,je wewe huangalie wanawake Mkuu..
Sahihisho, dini yangu inakataza kumuangalia (bila sababu ya msingi,kwa matamanio) mwanamke unaeruhusiwa kisheria kumuoa. (النذر إلامرءة اجنبية حرام)
 
Wanawake wa jf wote huwa ni watakatifu

Natumia vidole nikizidiwa
 
Hahaha
Bora nipalilie bustani nile walau mboga mie!! Mawazo ya ngono huwa yanakuja kama mtu huushighulishi mwili, lakini kuna ile ya lazima kwamba una uhitaji!! Unamvutia bae wako fasta!!!
I bet utakuwa mchaga wewe...! Miharddesire..!
 
Back
Top Bottom