Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

Kupitia michango ya dada zangu hapa, nimegundua kua wanawake wengi wanajichua na wachache miongoni mwao ndo hawapendi mchezo huo. Cha ajabu sijaona hata mmoja anaekemea kwamba ni kinyume na mafundisho ya dini. Acheni kuendekeza feelings zenu kujichua ni HARAM.
Soma comment zangu utapata jibu
 
Kwakweli nakutana navyo sana nikijisikia najilewea zangu hamu inaisha
Wakati pombe ndo huwa inaamshaga sana hisia za mapenzi kwa sisi mameni unaweza kuta umedaka hata muuza mihogo
 
Huu mchezo wengj wanaucheza wenyewe kimya kimya hata kama ni mheshimiwa fulani
 
Kweli ukikuta mdada anayejichua anakua hana ladha na pia anakua hana ham na mwanaume kiivyo. Akiwa peke yake tu ndo ham inakuja kwa fujo na anaweza kujifikisha hata Mara kibao.. Hongereni wadada mnaopenda madudu...
 
Back
Top Bottom