Kujielewa 101: Usitafute pongezi wala kusifiwa, ukisifiwa au kupongezwa usishukuru

Kujielewa 101: Usitafute pongezi wala kusifiwa, ukisifiwa au kupongezwa usishukuru

Ni kweli....wazungu na watu walioendelea hawanaga shida kushare vitu wanavyofanya...kwa sababu anaamini anachokifanya...

Sisi hatujiamini na hatuamini tunachokifanya...so tunaona kufichaficha ndo solution...kumbe kuexpose inaweza kuwa ni msaada kwako pia katika kuimprove hicho kitu...

Duniani hatuishi peke yetu...
Imagine mtu unajua coding au una skills flan...usishare na wenzako capabilities kisa unaogopa utaonekana una majivuno?



Tusiangalie negative tu....
Mwisho wa siku kwenye maisha, kila mtu ana code yake...ukiipata uka press unatoboa.
Na kuishi ni kuwa na Furaha, Kama kusifiwa unajisikia Furaha do it!
Kama ku share kunakupa Furaha do it!
Life's too short
 
Back
Top Bottom