Kujiendeleza kielimu katika kozi za Molecural biology and biotechnology na Bachelor of biotechnology

Kujiendeleza kielimu katika kozi za Molecural biology and biotechnology na Bachelor of biotechnology

Eswary jnr

New Member
Joined
Nov 21, 2018
Posts
3
Reaction score
2
Hello Kuna kijana amesoma Diploma in medical laboratory science na ana leseni kutoka bodi ya wataaluma wa maabara ila anataka kwenda kujiendeleza kielimu katika course za

1.Molecural biology and biotechnology (Udsm)

2 Bachelor of biotechnology (must)

Kwa wataalamu na wajuzi wa haya mambo hizi course haziwez kuja kumsumbua kwenye soko la ajira na mnaweza kumshaurijee huyu kijana
 
Huyo kijana ni WEWE mkuu nakushauri tu kama upo kwenye mfumo au haupo kasome hiyohiyo Medical Laboratory (Bachelor) kuna mtu tupo nae ofsiini anapambana hadi kesho ahame ila mambo yanakuwa magumu
 
1000345646.jpg
 
Back
Top Bottom