Kujiendeleza kielimu kwa mwalimu kazini kwa masomo ya Jiografia na Hisabati

Kujiendeleza kielimu kwa mwalimu kazini kwa masomo ya Jiografia na Hisabati

Joined
Apr 11, 2015
Posts
15
Reaction score
3
Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu tayari lkn anataka kujiendeleza lkn anataka asome masomo ya hisabati na jografia chuo kikuu bila ya kuwa na nyongeza ya somo lolote ,vp atumie mbnu gn ili afanikiwe? na ni mwlm wa primary hvo htaki kufanya mtihan wa 4m six anataka asome foundation ya mwka1 ya open ili apate sifa ya kujiunga na chuo vp inawezekana?
 
Wadau,

Kkuna jamaa yangu ni mwalimu tayari anataka kujiendeleza lakini anataka asome masomo ya Hisabati na Jografia chuo kikuu bila ya kuwa na nyongeza ya somo lolote.

Vipi, atumie mbinu gani ili afanikiwe? Na ni mwalimu wa primary hivyo hataki kufanya mtihani wa 4m six anataka asome foundation ya mwka 1 ya open ili apate sifa ya kujiunga na chuo, inawezekana?
 
Hakuna kitu kama hicho hapo lazima apige six. Kumbuka hii kada ni tofauti na kada zingine. Hakuna shotikati huku.
 
apige foundation comb ya EGM mambo hapo yataenda sawa.
 
Back
Top Bottom