Shaaban Makinda
Member
- Apr 11, 2015
- 15
- 3
Wadau kuna jamaa yangu ni mwalimu tayari lkn anataka kujiendeleza lkn anataka asome masomo ya hisabati na jografia chuo kikuu bila ya kuwa na nyongeza ya somo lolote ,vp atumie mbnu gn ili afanikiwe? na ni mwlm wa primary hvo htaki kufanya mtihan wa 4m six anataka asome foundation ya mwka1 ya open ili apate sifa ya kujiunga na chuo vp inawezekana?