Wadau,
Kkuna jamaa yangu ni mwalimu tayari anataka kujiendeleza lakini anataka asome masomo ya Hisabati na Jografia chuo kikuu bila ya kuwa na nyongeza ya somo lolote.
Vipi, atumie mbinu gani ili afanikiwe? Na ni mwalimu wa primary hivyo hataki kufanya mtihani wa 4m six anataka asome foundation ya mwka 1 ya open ili apate sifa ya kujiunga na chuo, inawezekana?