Kujiendeleza kielimu

OSCAR A. PESSA

New Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Habarini ndugu zangu...

Nahitaji kujiendeleza na masomo, kusoma master's mimi nina degree ya kwanza ya accounts na ninahitaji sana kuendelea na degree ya pili na sina idea degree ipi ya pili itakua nzuri kwangu.

Naombeni msaada wenu na pia ni chuo gani hapa Dar es salaam naweza soma degree yangu ya pili?

Asanteni.
 
Mkuu nakushauri tafuta uzoefu wa hiyo fani uliyonayo kama umemaliza hivi karibuni kabla ya kuendelea na masters kupitia uzoefu utajua nn unakihitaji ili ukibobee zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…