dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Habari viongozi,
Jana nilikuwa na mishe za town chapu.
Nilikuwa naelekea Bank moja ivi mjini, nikashukia pale maeneo ya ngozi nikaikamata ofisi yao fasta.
Nikakamilisha harakati zangu, nikashika kwa njia kukitafuta kituo tena maeneo ya ngozi pugu road, manake nilikuwa natumia usafiri wa umma.
Nikapanda kwa gari fasta, nikaingia ndani nikakuta siti zimejaa, nilikuta na baadhi ya wadau wamekaa kwa wima.
Kuna watu wawili walikuwa wanatazamana kwa macho, kumbe walikuwa wanapiga maspeech, mwanamke ni mkali japo kwa color yake ni black isiyokolea sana.
Sasa jambo la ajabu kabisa nililoliona kwa watu wakubwa vile ni kujifanya wao ni watu wa mbele, yaani no swahili wao lugha ya malkia tu, sasa katika mavocal yao ni upupu tu ambao walikuwa kwamaongezi.
Mambo haya yakujifanya watu wa abroad ni ushamba tena upo umezungukwa kwa umma, afu tena watu wakubwa, haya madudu wanatakiwa wafanye madent wa primary na secondary , ili tujue hawa wapo kwa practical. Kwani ni sifa watu watu wakikuona unagonga lugha ya mbele?,badilikeni acheni ushamba bna.
Mkulu mwenyewe hata kama anahutubia mkutano wa watu wa mbele,anakugongea kwa swahili mazee, wewe mlugaluga tu unajifanya mtu wa mbele?
Acheni ngada, dumisheni tamaduni.
Sent using Jamii Forums mobile app