Meddick_Uwezo
Member
- Jul 21, 2018
- 54
- 27
Kondo ndo kitu gani mkuu???Hakuna Sababu Moja wala mbili Zipo sababu Nyingi
Magonjwa ya zinaa
Magonjwa ya Kurithi
Itilafu katika Kizazi
Sometimes Kondo Kumzunguka Mtoto
N. K n. K
Genetic problem kama yapi???Salama,
Magonjwa.
Uzazi kuwa na tatizo
Genetic problems.
Kuamua mwenyewe.
Mtoto kukaa vibaya tumboni na ukuaji wake kuhatarisha afya ya mtoto na mama.
Swali lako pana sana jamaa akishusha shule hapo wengi tutapoteanaGenetic problem kama yapi???