KUJIFUNGUA KABLA YA MDA

KUJIFUNGUA KABLA YA MDA

Meddick_Uwezo

Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
54
Reaction score
27
Habari wanajamvi swali langu ni hili hivi sababu iipi inachangia mtu kujifungua kabla ya muda yaani miezi 9??

Pia naomba kujua sababu inayofanya mimba kuharibika
 
Hakuna Sababu Moja wala mbili Zipo sababu Nyingi

Magonjwa ya zinaa
Magonjwa ya Kurithi
Itilafu katika Kizazi
Sometimes Kondo Kumzunguka Mtoto

N. K n. K
 
Salama,
Magonjwa.
Uzazi kuwa na tatizo
Genetic problems.
Kuamua mwenyewe.
Mtoto kukaa vibaya tumboni na ukuaji wake kuhatarisha afya ya mtoto na mama.
 
Back
Top Bottom