JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Siku za kujifungua zinapokaribia ni muhimu maandalizi ya kumfikisha mjamzito Kituo Cha Afya yafanyike kwasababu kujifungulia Kituo cha Afya ni salama zaidi ya kujifungulia nyumbani.
Hakikisha Mama ana vifaa hivi: Sabuni, Boksi dogo la glovu, Khanga/Vitenge, Nepi, kifunga kitovu, kiwembe/mkasi, taulo za kike kwajili ya Mama, beseni kulinda afya ya mama, mtoto na mkunga, mpira wa kitandani na dawa kwa ajili ya kusimamisha uvujaji damu
Upvote
0