Kujifungua kwa operation muda muafaka ni upi wa kuanza mazoezi

Sina pa kwenda

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
113
Reaction score
15
Msaada tafadhali toka nijifungua sasa ni miezi saba nilijifungua kwa operation, hivyo mazoezi ilikuwa ngumu kuanza kutokana na mshono, nilikuwa nataka kujua ni muda gani muafaka wa kufanya mazoezi ili niweze kupungua kama mjuavyo mtu ukiwa mzazi vyakula vile lazima ule ili mtoto apate maziwa ya kutosha though bado mpaka sasa nakula ila sio kama miezi sita ya kwanza. Naombeni ushauri wenu nimekuwa bonge jamani
 
Siajua unauliza mazoezi gani hasa maana mazoezi mengine kama kutembea ulitakiwa kuyaanza tangu ukiwa hosp.mazoezi yote unaweza fanya isipokuwa yale yanafanya misuli ya tumbo ikaze sana kama kubeba vitu vizito,kujikunja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…