Sina pa kwenda
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 113
- 15
Msaada tafadhali toka nijifungua sasa ni miezi saba nilijifungua kwa operation, hivyo mazoezi ilikuwa ngumu kuanza kutokana na mshono, nilikuwa nataka kujua ni muda gani muafaka wa kufanya mazoezi ili niweze kupungua kama mjuavyo mtu ukiwa mzazi vyakula vile lazima ule ili mtoto apate maziwa ya kutosha though bado mpaka sasa nakula ila sio kama miezi sita ya kwanza. Naombeni ushauri wenu nimekuwa bonge jamani