kUJIFUNGUA PLZ

mtori,supu na uji wenye pilipili manga kwa wingi vitakusaidia kuleta maziwa kwa wingi na kukusafisha tumboni jitahd viwe vya moto.
 
Mbona umefungua threads mbili kwa jambo la aina moja,au umejifungua pacha?
 
Hongera dada, umepata baby boy or girl?
 
Pia uji wa lishe(mchanganyiko wa nafaka,ulezi,mtama,mahindi,karanga,soya,ngano n.k) ni mzuri sana,unaweza ukaandaa unga mwenyewe ama ukanunua,
 
Pia uji wa lishe(mchanganyiko wa nafaka,ulezi,mtama,mahindi,karanga,soya,ngano n.k) ni mzuri sana,unaweza ukaandaa unga mwenyewe ama ukanunua,

Huo uji wa ulezi au mtama ajitahidi aweke mafuta ya kutosha tena angepata kimbo au tanbond manake mafuta yakiwa ya ngama asee hajakubwa anaweza kuitafuta kwa tochi
 
mtori,supu na uji wenye pilipili manga kwa wingi vitakusaidia kuleta maziwa kwa wingi na kukusafisha tumboni jitahd viwe vya moto.

Yani hapo atakuwa amemaliza....na watamsahau kama analea mwana.Mimi nilikula hivyo vitu kipindi changu cha uzazi na vilisaidia sana.
 
Na maumivu yake acha kabisa,hata blueband yafaa pia
Huo uji wa ulezi au mtama ajitahidi aweke mafuta ya kutosha tena angepata kimbo au tanbond manake mafuta yakiwa ya ngama asee hajakubwa anaweza kuitafuta kwa tochi
 
Ndio....mi nimemla pweza daily na sijapata mabadiliko yoyote....au ngoja nimuulize na farkhina......

Hahahahaha mie nakula mara 3 kwa wiki najiona kawaida tu...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…