UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
cHAKULA GANI NILE SOON AFTER KUJIFUNGUA AMBACHO NI MSAADA KWANGU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Supu ya pweza ni kiboko yao,yaani maziwa yanajaa,yanaweza hata yamwagike uloweshe sidiria!!
he he he no haimdhuru mwanamke....Asije akaamsha vilivyolala akabemenda kachanga bwana.
he he he no haimdhuru mwanamke....
Ndio....mi nimemla pweza daily na sijapata mabadiliko yoyote....au ngoja nimuulize na farkhina......Hivi ni kwa wanaume tuu ee?
vyote vyote banaaa....Wewe umemla pweza badala ya supu ya pweza,wacha farkhina atupatie majibu,
Pia uji wa lishe(mchanganyiko wa nafaka,ulezi,mtama,mahindi,karanga,soya,ngano n.k) ni mzuri sana,unaweza ukaandaa unga mwenyewe ama ukanunua,
mtori,supu na uji wenye pilipili manga kwa wingi vitakusaidia kuleta maziwa kwa wingi na kukusafisha tumboni jitahd viwe vya moto.
Huo uji wa ulezi au mtama ajitahidi aweke mafuta ya kutosha tena angepata kimbo au tanbond manake mafuta yakiwa ya ngama asee hajakubwa anaweza kuitafuta kwa tochi
Supu ya pweza ni kiboko yao,yaani maziwa yanajaa,yanaweza hata yamwagike uloweshe sidiria!!
bABY BOYHongera dada, umepata baby boy or girl?
ndio.....Ni kweli..supu ya pweza inajaza maziwa?
Ndio....mi nimemla pweza daily na sijapata mabadiliko yoyote....au ngoja nimuulize na farkhina......